Mimi ni binti wa miaka 22, ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa Dar niko mwaka wa pili. Kusema kweli hadi sasa simjui mwanaume, nimejitunza iwe zawadi kwa mme wangu atayenioa pia nampenda sana MUNGU. Tatizo linakuja kwa lecturer mmoja mwanaume ambaye pia ana cheo kikubwa hapa chuo, amenifelisha masomo yangu ya semista iliyopita kisa nimemkataa na anasema nikizidi mkatalia atanifelisha semista ya mwisho hadi nirudie mwaka. Jamani sitaki kujihusisha naye maana ameshatembea na wasichana wengi hapa chuo kwa kigezo hicho. Sitaki kufeli mwenzenu na sitaki kuharibu usichana wangu kwake, nifanyeje? naomba ushauri wenu
Thursday, April 7, 2016
Wednesday, April 6, 2016
TAKE CARE;WHY DO CHRISTIANS WORSHIP SINGING.....
Why do christians worship singing?
Subscribe to:
Posts (Atom)